Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
Apartment ya vyumba viwzili seble jiko kimoja ni master na public toilet inapangishwa laki 5 kwa mwezi malipo kuanzia miezi sita
Ndani ya fence zipo nyumba nane umeme na maji unajitegemea mazingila mazuli usalama wa kutosha
location mbezi beach salasala mwanzoni kwenda kuona nyumba elf 20
Contact
0625584914