Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
——
——
APARTMENT NZURI YA KISASA 200,000/=×3
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#CHOO KIZURI CHA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING KUBWA
BEI NI 200,000/=×3
🏘️ APARTMENT HII IPO KIBANDA CHA MKAAUPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 6 UPO KWENYE NYUMBA
🌟 KUONESHWA NYUMBA HII UTALIPIA PESA SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA YA UDALALI
0713320608
0686334182