Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(200,000 Γ 6) π ππππ πππππ‘ππ πππ π πππ
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= Γ 6
PAMOJA NA PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 1 TUU
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 200,000/= Γ 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 1 (100,000/=) TUU NDUGU MTEJA
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UPO MUDA WOTE,,
NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni Shilling 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300