Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA MAHALI ILIPO DARESALAAM TZ ENEO MBEZI LUGUGURUNI UMBALI WA KUTEMBEA KWA MGUU DK 8/10
YENYE
VYUMBA V2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO ZULI LENYE MAKABATI INA VYOO VYA FAMILY NDANI TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA IPO NDANI YA UKUTA GET PAVING BLOCK GETI
KATIKA COMPOUND MOJA ZIPO APARTMENT NNE 4 MOJA NDIO IPO WAZI
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI TATU NA NUSU 350K
KODI ILIPWE MIEZI MITATU 3
ANGALIZO KUNA MWEZI MMOJA WA ANGALIZO YA NYUMBA MWEZI MMOJA 1
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15,000
0753 989554
0773700963
======