Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
(200,000X4) MBEZI KWA MSUGURI
➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT MPYA NZURI INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
BEI NI 200X4 5 6 ILIPWE LAKI MBILI KODI YA MIEZI MINNE AU MITANO AU SITA
SIFA ZAKE
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO
UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI UNAJITEGEMEA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
USAFILI UPO WA BAJAJI 700
BODA1000
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 1
BARABARA SAFI NI LAMI
MTEJA NJOO UNAONA NDANI UNARUSIWA
NA KUFANYA MALIPO
NYUMBA ITAKUWA TAYARI TAREHE 6/12/2024
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15 UKIIPENDA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
CONTACT US:-
0716223412
0683597453