Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







Apartment Inapangishwa:
Location :: MBEZI MWISHO NJIA YA GOBA DAKIKA 2 KUTOKA LAMI
Bei yake :: 400,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Master kubwa
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko kubwa linafungwa makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡A/C Sebule tu
#NB: MKATABA UNAANZA TAREHE 1.1.2026 KULIPIA RUKSA NDUGU MTEJA ILA KUINGIA NDIO HIYO TAREHE ZINGATIA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















