Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENTS ZINAPANGISHWA - MBEZI MWISHO KWA ROBERT
=====
CHumba master bedroom
Jiko kubwa
Bei:150,000 Kwa mwezi Γ6
===
Umbali dakika 15 Kwa miguu
===
Hazina fensi kwa sasa ila soon itajengwa
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
MAWASILIANO
#0785889413
#0785889413ππππ‘π _π΄πππ²π²