Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
SOMA MAELEZO KWA MAKIN UYAELEWE
.
NI APARTMENT 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
.
LOCATION NI MBEZI MWISHO HII NJIA YA KUELEKEA KITUO MARAMBA MWISHO
.
KODI NI 200,000 TU KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
.
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
.
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NDAN YA FENSI PARKING SPACE IPO
.
UFIKAJI
=======
UKITOKEA MBEZI MWISHO BAJAJI NI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
.
UKITOKEA TABATA KINYEREZI BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
0742260844
0657384670
.
DALALI SILAA