Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
(170,000 × 4) MBEZI NYUMA YA STAND YA MKOA MAGUFULI STAND
APARTMENT KALI SANA MPYAA KABISA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND YA MAGUFULI
<<<<<<<<<<<<<<<<<<
ZIPO MBEZI STAND YA MKOA MAGUFULI
UMBALI KUTOKA STAND NI km 1.5 BODABODA 1000 - 1500
========
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER KUBWA SANA
SEBULE KUBWA SANA
JIKO NDANI
UMEME INAJITEGEMEA NA MAJI DAWASA
=========
ZIPO NNE TUU KWENYE FENSI
KODI 170,000/= × 6
KUONA NYUMBA 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
=========
0652472014
0652472014