Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
APARTMENT IPO MBEZI MARAMBA MAWILI KITUO MAKUTI
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 4, 5, 6
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
APARTMENT INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE IPO MAZINGIRA MAZUR GARDEN SAFI MAZINGIRA MAZUR NA TULIVU
LUKU SUBMETER NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW CHOON
SERVICHAJ ELFU 10
CONTACT
0712656027