Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 6
š„ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA CHENYE CHOO(MASTER)
#SEBULE
#UMEME SUBMETER NA MAJI BILI WAWILI
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
āHAKUNA JIKO
BEI NI 150,000/= X 6
šļø APARTMENT HII IPO Mbezi KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MOROGORO KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 KWA MIGUU TU
BODABODA 1,000 MPAKA GETINI
6 -8 KUTEMBEA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CALL
WHATSAPP
0679997610
0658884015
Msigwa