Nyumba/Apartment inapangishwa Mjini, Ruvuma







0679 997610
#WAHI #KIMARA_TEMBONI
APARTMENT INAPANGISHWA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
#KODI 150,000X4x5
#UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 2
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA 1000
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#TOILET PUBLIC NJE YA WAGENI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANA FLOW MAJI DAWASA MASAA 24
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PEVING BLOCK
KUPELEKWA KWENDA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 20,000
NAUKIPENDA NYUMBA MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA