Nyumba/Apartment inapangishwa Mjini, Ruvuma







APARTMENT NZURI YAKIBACHERA NA  YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 3
MPYA MPYA MPYA !!!!!!!! 
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#CHUMBA 
#SEBULE SEBURE KUBWA 
#JIKO KUBWA 
#LUKU UNAJITEGEMEA YA MAJI DAWASA UNAJITEGEMEA 
#PARKING IPO 
# IPO NDANI YA FENSI 
# FULL CCTV CAMERA 
💥INAYOPANGISHWA NI IYO  YA JUU NDUGU MTEJA 
BEI NI 300,000/= X 3 
💫💫 APARTMENT HII IPO KWAMSUGURI KULIA KAMA UNAENDA MJINI 
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DKK 15 KUTEMBEA AU BAJAJI 500  NJIA NI RAFIKI  ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15  NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0713320608
0686334182




















