Nyumba/Apartment inapangishwa Nzuguni, Dodoma


APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWAπ΄
_________________
πMAHALI- NZUGUNI
_________________
πͺ MUUNDO
-Vyumba V2 vya kulalaa (01 MASTER)
-sebule
-jiko zuri
-Public toilet
__________________
HUDUMA
-Maji na umeme vipo
-Umeme unajitegemea
-Parking space
-Iko ndani ya fence
-usalama wa kutosha
__________________________
π°MALIPO
~Bei ni 300,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 6+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJAπ
βοΈ MAWASILIANO
+255657122976 call/ wtsp
πββοΈGharama za kwenda site ni 10,000/=