Nyumba/Apartment inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO. MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA KILA MOJA..
MAJI YANATOKA CHOONI NA JIKONI (DAWASA) TENKI LIPO.
KODI: 150000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 4.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.