Nyumba/Apartment inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER NA SEBULE VYUMBA NIVIKUBWA.
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI, APARTMENT ZIPO TATU, MAJI YAPO DAWASA.
KODI: 100000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU, KITUO SEKONDARI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.