Nyumba/Apartment inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







👉🏛️ APARTMENT MPYA INAPANGISHWA CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBLE KUBWA NA JIKO KUBWA,KINA TILES, GIPSAM, FEC PERVING BLOCK,MAJI 24HR MITA YAKJITEGEMEA NA UMEME LUKU YAKJITEGEMEA.
👉🏦BEI LAKI MOJA NA NUSU (150,000/=) KWA MWENZI.
👉☝️IPO PUGU KINYAMWEZI, WILAYA ILALA, DAR ES SALAAM.PIA NYUMBA HAIPO MBARI NA KITUO CHA DALADALA DAKIKA 5 KWA MGUU.
👉📞0712315920.CALL&WHTSPPY.24HR
👉📠☎️0762102059.CALLL.24HR