Nyumba/Apartment inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
Apartment Mpya Inapangishwa
Mahali: Sinza Hood
Bei: 300,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
☑️Inatizama Lami
☑️Master Sebule Jiko
☑️Fensi & No Parking
☑️Inajitegemea Umeme
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalali_chiddy
Call & WhatsApp: 0745111333
Call: 0788262263 / 0617252263
Viwanja Na Ofisi Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏