Nyumba/Apartment inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Sinza mawasiliano
Bei: 250K
Malipo: Miezi 6
☑️Lami Nyumba
☑️Chumba Master
☑️Fensi & No Parking
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalali_chiddy_tz
Call & WhatsApp: 0745111333
Call: 0788262263 / 0617262263
Viwanja Na Ofisi Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#DalaliMasterTz #MasterMijengo