Nyumba/Apartment inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Apartment kali sanaa
@
Inapangishwa
@
Bei 350,000 kwa mwez malipo
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Master sebule jiko choo
@
Ipo sinza
@
Umeme mita yako maji shea
@
Parkingi ipo
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687