Nyumba/Apartment inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISHWA
APARTMENT ZIPO TABATA KINYEREZI
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 4, 5, 6
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA SANA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR FULL KAMERA YAAN HAPA ULINZI NI KAMA JELA
LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI KILA MTU NA TENK LAKE JUU NA MITA YA MAJI YA KWAKO
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347