Nyumba/Apartment inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISHWA
APARTMENT ZIPO TABATA KINYEREZI UMBALI WA DK 8 MPKA 10 KWA MIGUU TOKA STAND
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI MINNE (4)
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA SANA JIKO ZURI KUBWA LINAWEKWA MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR FULL KAMERA YAAN HAPA ULINZI NI KAMA JELA
LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI KILA MTU NA TENK LAKE JUU NA MITA YA MAJI YA KWAKO
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844
0657384670