Nyumba/Apartment inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
==============
.
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
=============
.
IPO TABATA KINYEREZI KITUO KIFURU UMBALI WA DK 4 TU KUTOKA BRBR YA LAMI
===============
.
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI LA NJE
===============
.
APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
==============
.
INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO
===============
.
APARTMENT IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI GARDEN NZURI FULLY ELECTRONIC FENCE
.
SERVICHAJ ELIFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
==============
.
CONTACT
0742260844
0657384670