Nyumba/Apartment inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
Apartments Zinauzwa Tabata Baracuda.
- Zipo 14 jumla
- Kila moja ni master, sebule na jiko
- Kila moja inajitegemea maji na umeme
- Kuna parking
- Ni karibu na barabara
- Kwa biashara ya kupangisha ni safi kabisa
Makusanyo kwa mwaka ni Mil 42.
Unaweza fanya maboresho madogo na kupandisha kodi na kuongeza thamani ya uwekezaji wako.
Bei ni Mil 450 maongezi yapo.
Muhitaji piga +255 688 412 890.