Nyumba/Apartment inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISHWA 
APARTMENT ZIPO TABATA KINYEREZI 
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 4, 5, 6
SIFA ZAKE 
=========
NI MASTER BEDROOM KUBWA SEBULE KUBWA SANA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE 
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR FULL KAMERA YAAN HAPA ULINZI NI KAMA IKULU 
LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI KILA MTU NA TENK LAKE JUU NA MITA YA MAJI YA KWAKO
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
CONTACT:: 0672 673363 / 0763 219307



















