Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa Kali Executive
Location Ubungo Makoka Usafiri ni Bajaji na Boda Pia Unaweza Kupitia Kimara Korogwe Sehemu zote unafika Kirahisi Kabisa
Kodi 200000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
Ni Master Bedroom Kubwa
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy sio ya Kulala Gari
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
SIMU 0659336751 WSP 0786085637