Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


KODI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 4, 5, 6
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA
UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500
===============
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI DALADALA SH 5OO
====================
SIFA ZAKE
#########
CHUMBA MASTER KIKUBWA MNOOOO
SEBULE KUBWA MNOOO
NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
====================
TILLES GYPSUM DIRISHA SHATA MAZURI MAKUBWA YENYE HEWA SAFI
================
NYUMBA HII HAIPO KWENYE FENCE LAKINI MAZINGIRA MAZURI NA SALAMA PIA PARKING SPACE IPO KUBWA
================
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW CHOON
===============
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
================
DALALI KISMATI UBUNGO 🤫🔥
0772850032