Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment house for rent Kali Sana nzuri
Location ubungo Riva said dakika 12 kutembea mpaka home
Kodi 200000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba na sebule
Choo ndani
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Paving block
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128