Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment Classic For Rent
Location: UBUNGO EXTERNAL
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 4 Kutoka Kituoni
KODI 180,000 × 6
✔️Sebule kubwa
✔️Chumba Kikubwa Sana Master Bedroom
✔️Choo Cha Wageni kipo
✔️Kibaraza Chake
Apartment Zipo 3 Ndani Ya Fence Ila Parking Hamna Mazingira Mazuri Umeme LUKU SUB-METER Wawili Na Maji DAWASA Yanaflow Ndani 24HRS
Service Charge 15,000/=
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289 📞
Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja