Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa Mpyaa
Location Ubungo Riverside Kibangu Usafiri ni Bajaji na Boda Ukishuka Dakika 1 upo home
Kodi 150000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
===============
Single Room Kubwa
Jiko
Choo ndani
Maji Dawasa ndani
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment