Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Dakika 8 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 250000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Ni Master Bedroom Kubwa sana
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Pia Kuna Chumba na Sebule Kubwa
Jiko
Public toilet
Bafu
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Kodi 350000×6