Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA 150X6
================
.
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI
===============÷
.
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA. aina jiko
==================
.
APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW CHOON
==================
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS ILA SIO YA KULAZA GARI
====================
.
KODI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
=============
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
==================
.
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=================
.
CONTACT
0742260844
0657384670