Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 200K X6
ILIPWE LAKI MBILI MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA UNAWEZA PITIA UBUNGO EXTRENAL AU KIMARA KOROGWE KOTE UNAFIKA
SIFA ZAKE
#CHUMBA MASTER KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
HAKUNA JIKO
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NYUMBA IPO NDANI YA FENSI YA WAYA MAZINGIRA MAZURI SANA
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
0655256419