Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
Unaweza Ukapitia Korogwe Usafiri Bajaj 500 Barabara ni LAMI
Unaweza Ukapitia External Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
Pia Daladala za Kariakoo Mnazi Mmoja Zipo
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba master
.jiko kubwa
Apartment zipo Kwenye Fensi Parking ipo.
Kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 250,000 Malipo Miezi 6
𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
0713661530_0783661530