Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment house for Rent za Kisasa Mpyaa
Location Ubungo Riverside Kibangu
Kodi 170000Γ6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
===============
Ni Chumba na Choo ndani
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy sio ya Kulala Gari
Pavin Block Zina wekwa
Slide window
Tiles
Gypsum
Nyumba Ina Kua tayari Tarehe 15 Mwezi 12 Kuona Nyumba na malipo inaruhusiwa
0715949085