Nyumba/Apartment inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


🇹🇿NEW APARTMENT CLASSIC FOR RENT
XX
KUONA NYUMBA Na KULIPIA RUKSA BOSS 💰✍️
LOCATION: UBUNGO EXTERNAL
Usafiri 24Hours Bajaji,Daladala 500
UKISHUKA DK3 UNAPIGA TEKE GETI
KODI 500,000 × 6
✅️SEBULE KUBWA SANA
✅️CHUMBA MASTER BEDROOM
✅️KITCHEN WITH CABINETS
✅️WASHING MACHINE
✅️UNAJITEGEMEA MAJI Na UMEME
✅️YANAFLOW JIKONI Na CHOONI 24HRS
✅️RESERVE TANKS
✅️ELECTRIC FENCE/PARKING SPACE
✅️DISH CABLE ZIPO NJOO NA KISIMBUZI TU
✅️UMEME UKIKATIKA UPO UMEME WA SOLAR(24HRS) ✅️GOOD ENVIRONMENT 👍
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp