Nyumba/Apartment inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


#0625606710
HAYA SASA NIMESHUSHA BEI, ILIKIWA MILIONI 30 SASA NI 27, NYUMBA INA APARTMENT 3 INAUZWA BUNJU KIHARAKA
LOCATION :BUNJU KIHARAKA
AREA : ~ SQM 200
π°PRICE : MIL 27
UMILIKI :KARATASI YA SERIKALI YA MTAA.
SIFA:- KILA APARTMENT INA
-1MASTERBEDROOM
-SITTING ROOM
-SELF ELECTRICITY AND WATER METER
-TILED FLOOR
-ALLUMINIUM WINDOWS
HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 30