Nyumba/Apartment inauzwa Kijitonyama, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa ipo kijitonyama prime area
Ina vyumba 6 self contained fully A/c
- Plot size: 1,200 sqmts
Ina hati miliki safi
Ni plot ya nne kutoka kwenye lami
Panafaa kujenga apartments, hotel, nk
Bei TZS 780 Million maongezi yapo kidogo
Contact call 0712531657#0789731695