Nyumba/Apartment inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENTS NZURI MNO ZINAUZWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA
ZINA HATI YA WIZARA(Clean tittle deed)
ZIKO UMBALI WA DK 10 TOKA TU TOKA LAMI MOROGORO ROAD, ZIKO 2 KWA COMPOUND
KILA 1 VYUMBA V2 KULALA K1 MASTER,SEBLE,JIKO LA KISASA,DINNING NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENSI WIRE######
UKUBWA WA ENEO SQM 3,000
BEI MILLION 120 MAONGEZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA 30K
0679447338
0753454167