Nyumba/Apartment inauzwa Utemini, Singida CBD, Singida




ENEO/SHAMBA LINAPATIKANA MTAA WA UTEMINI, ENEO LIPO KATI YA CHUO CHA VETA NA SHULE YA SEKONDARI YA UTEMINI. BEI YA ENEO NI MILLIONI 45,000,000 (MAZUNGUMZO YAPO) KUHUSU MCHORO WA MIPANGO MJI KWENYE MCHORO ENEO LIMEAINISHWA KAMA ENEO LA PUBLIC BUILDING (P.B), HIVYO WATEJA WANAOHITAJI MAENEO YA TAASISI, KAMA NGO's UJENZI WA MAJENGO BINAFSI YATAKAYOTUMIKA NA WATU WENGI KAMA VITUO VYA WATOTO YATIMA, SHULE NA DISPENSARI PIA WANAWEZA KULITUMIA ENEO HILI. MAKAZI PIA KWA WATEJA WATAKAO HITAJIA KULITUMIA ENEO HILI KWA AJILI YA MAKAZI MNAKARIBISHWA PIA KWA MTAELEKEZWA UTARATIBU WA KUBADILISHA MATUMIZI KWA MAKADIRIO UTAGHARIMU MILLION 3.5 TU NA UPIMAJI NI MILLIOI 1.5 JUMLA MILLIONI 5