Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
Apartments zinapangishwa. Mpya kabisa
—
Location: Bunju A mianzini pembeni ya KAIRUKI HOSPITAL. Dakika tatu toka bagamoyo road
—
Vyumba V2 kimojawapo master,sebule,jiko na public toilet ni tsh laki sita tu (tsh 600,000/=) kwa mwezi
—
Chumba kimoja master,sebule na jiko ni tsh laki nne tu (tsh 400,000/=) kwa mwezi na
—
Studio apartment ni tsh laki tatu tu (tsh 300,000/=)
—
Kodi zote zinaanzia miezi sita tu na kuendelea
—
Nyumba zote zina AC, makabati jikoni, heater jikoni na kuna electric fence na gate la rwmote kila mpangaji remote yake
—
Unajitegemea maji na umeme
Nyumba ni mpya ukilipia unasubiri siku tano kuna finishing bado tunamalizia
—-
Tupigie simu👉0789063172