Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Buswelu, Mwanza
APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA BUSWELU - KIGALA
-chumba kimoja self contained, sebule na jiko
-umeme na maji unajitegemea
-kodi Tsh 200,000 kwa mwezi
-malipo ni miezi sita (6)
☎️ 0743220097