Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Apartment Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Goba njia nne Nash park
Bei: 250,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
☑️Chumba Kimoja Master
☑️Sebule Kubwa
☑️Jiko Kubwa La Kisasa
☑️Fensi
☑️Parking
☑️Tiles, Gypsum
☑️Sliding Windows
☑️Luku Inajitegemea
☑️Full Paving Blocks
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 20,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Contact
0652472014