Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA CENTER mita 200 kutoka lami dk2 tu
💧Bei :: 500,000Tsh miezi 6 full Ac
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja Masta
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0743688011
Call /Whatsapp
0743688011