Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ #Mpyaaa
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: GOBA CENTER
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule kubwa
โข Chumba cha kimoja cha Kulala Master Bedroom
โข Public Toilet ya Wageni
โข Jiko Zuri
โข Heater
โข Full AC
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐_๐ฃ๐ Tsh. 400,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 20000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747