Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA NJIA NNE - NJIA YA MADALE
💧Bei :: 200,000Tsh Malipo Kwanzia Miezi 3
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja Masta
📍Sebule
📍Jiko zuri
📍 Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
dalalimbezibeach_goba_salasala
#0715127812call