Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kariakoo, Dar Es Salaam


Hii apartment ipo kariakoo mtaa wa Livingston ipo floor ya 5 lifth ipo genereta
Ni chumba kimoja master bedroom
Ni full fanish inapangishwa laki
5 kwa mwezi Kodi miezi 3
Bila fanish bei ni Moja laki 5
Mawasiliano 0752573112