Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kawe, Dar Es Salaam


🇹🇿Apartment Classic For Rent
Location: KAWE BEACH
JIRANI NA BARABARA
Umbali wa Kutembea kwa Miguu Dakika 1 Kutoka Main Road.
✍️Sebule Kubwa
✍️Chumba KIMOJA Cha Kulala Kikubwa
✍️Choo Kizuri Ndani
✍️Kitchen With Cabinets
✍️Heater Ya Maji
✍️Full A/c
✍️Electrical Fance
✍️Balcony
✍️CCTV Cameras 📷
Apartment Zipo Ndani Ya Fence Parking Ipo Umeme LUKU Inajitegemea Na Maji DAWASA Yanaflow Ndani24HRS.
PRICE: 750,000
HAKUNA MALIPO YA MAJI, ULINZI NA USAFI
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp


















