Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibaha, Pwani


APARTMENT NZURI SANA ZINAPANGISHWA
MAHALI KIBAHA MIEMBE SABA
BARABARA NI RAFIKI NYAKAT ZOTE
UMBALI DK 10 KWA MIGUU HAINA HAJA YA USAFIRI
APARTMENT ZIPO NDAN YA FENS
INAJITEGEMEA MITER ZA UMEME NA MAJI
๐SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
DINNING ROOM
JIKO
PUBLIC TOILET
STORE
APARTMENT ZINA ENEO KUBWA SANA UNA WEZA KUFUGA AU KULIMA
APARTMENT ZIPO NDAN YA FENS
KODI 300000X6
NOTE DALALI NALIPWA KODI YA MWEZ MMOJA
โ๏ธ #0757208653