Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
🇹🇿APARTMENT CLASSIC FOR RENT
ZIPO 2 KWENYE FENCE
Location: KIBAMBA LUGURUNI
Distance: DAKIKA 15 KUTOKA MAIN ROAD
KODI 450,000 × 6
SEBULE KUBWA SANA
DINNING KUBWA
VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA ZURI
FULL A/c
STORE KUBWA
UMEME Na MAJI INAJITEGEMEA
MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
RESERVE TANKS
FENCED
PARKING SPACE KUBWA 🚘
📌NYUMBA HII INA MAGETI MAWILI KILA MTU ANATUMIA LAKE
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp